Mwa. 3:8 SUV

8 Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, BWANA Mungu asiwaone.

Kusoma sura kamili Mwa. 3

Mtazamo Mwa. 3:8 katika mazingira