25 Ikawa Raheli alipomzaa Yusufu, Yakobo akamwambia Labani, Nipe ruhusa niende kwetu, na kwenye nchi yangu.
Kusoma sura kamili Mwa. 30
Mtazamo Mwa. 30:25 katika mazingira