Mwa. 30:32 SUV

32 Nitapita katika wanyama wako wote leo, na kutoa huko kila mnyama aliye na madoadoa na marakaraka, na kila mnyama mweusi katika hao kondoo, na aliye na marakaraka na madoadoa katika mbuzi; nao watakuwa mshahara wangu.

Kusoma sura kamili Mwa. 30

Mtazamo Mwa. 30:32 katika mazingira