Mwa. 30:37 SUV

37 Yakobo akatwaa fito za mlubna mbichi, na mlozi, na mwaramoni, akazibambua maganda, mistari myeupe ionekane ndani ya hizo fito.

Kusoma sura kamili Mwa. 30

Mtazamo Mwa. 30:37 katika mazingira