Mwa. 30:40 SUV

40 Na Yakobo akawatenga wana-kondoo, akazielekeza nyuso za makundi zielekee wale waliokuwa na milia, na kila aliyekuwa mweusi katika wanyama wa Labani. Akaweka kando wanyama wake mwenyewe, wala hakuwachanganya pamoja na wanyama wa Labani.

Kusoma sura kamili Mwa. 30

Mtazamo Mwa. 30:40 katika mazingira