Mwa. 31:1 SUV

1 Basi Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani, wakisema, Yakobo amechukua mali yote ya baba yetu; na kwa mali ya baba yetu amepata fahari hii yote.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:1 katika mazingira