Mwa. 31:10 SUV

10 Ikawa, wakati wale wanyama walipochukua mimba, naliinua macho yangu nikaona katika ndoto, na tazama, mabeberu waliowapanda hao wanyama walikuwa na milia, na madoadoa, na marakaraka.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:10 katika mazingira