Mwa. 31:13 SUV

13 Mimi ni Mungu wa Betheli, huko ulikotia mafuta nguzo, na kuniwekea nadhiri. Sasa ondoka, toka katika nchi hii, urudi mpaka nchi ile uliyozaliwa.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:13 katika mazingira