Mwa. 31:29 SUV

29 Ninao uwezo mkononi mwangu wa kukufanyia madhara; lakini Mungu wa baba yako usiku huu ameniambia, akisema, Ujihadhari, usimwambie Yakobo neno la heri wala la shari.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:29 katika mazingira