36 Yakobo akakasirika, akagombana na Labani. Yakobo akajibu, akamwambia Labani, N’nini hatia yangu? Nayo ni nini dhambi yangu, hata ukanifuatia namna hii?
Kusoma sura kamili Mwa. 31
Mtazamo Mwa. 31:36 katika mazingira