46 Yakobo akawaambia ndugu zake, Kusanyeni mawe. Wakatwaa mawe, wakafanya chungu, nao wakala huko karibu na ile chungu.
Kusoma sura kamili Mwa. 31
Mtazamo Mwa. 31:46 katika mazingira