Mwa. 31:54 SUV

54 Yakobo akachinja sadaka katika mlima, akawaita ndugu zake waje wale chakula, nao wakala chakula, wakakaa usiku kucha mlimani.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:54 katika mazingira