Mwa. 31:8 SUV

8 Aliposema, Walio na madoadoa watakuwa mshahara wako, wanyama wote wakazaa madoadoa. Aliposema, Walio na milia watakuwa mshahara wako, ndipo wanyama wote wakazaa wenye milia.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:8 katika mazingira