10 mimi sistahili hata kidogo hizo rehema zote na kweli yote uliyomfanyia mtumwa wako; maana nalivuka mto huo wa Yordani na fimbo yangu tu, na sasa nimekuwa matuo mawili.
Kusoma sura kamili Mwa. 32
Mtazamo Mwa. 32:10 katika mazingira