17 Akamwagiza yule wa kwanza akasema, Esau, ndugu yangu, akikukuta, na kukuuliza, akisema, Wewe u wa nani? Unakwenda wapi? Tena ni wa nani hawa walio mbele yako?
Kusoma sura kamili Mwa. 32
Mtazamo Mwa. 32:17 katika mazingira