Mwa. 32:4 SUV

4 Akawaagiza akisema, Mwambieni hivi bwana wangu, Esau, Hivi ndivyo asemavyo mtumwa wako, Yakobo; Nimekaa ugenini kwa Labani, na kukawia huko hata sasa,

Kusoma sura kamili Mwa. 32

Mtazamo Mwa. 32:4 katika mazingira