Mwa. 34:21 SUV

21 Watu hawa wana amani nasi, basi na wakae katika nchi, na kufanya biashara humo; kwa maana nchi ni kubwa, yawatosha; na tuwatwae binti zao kuwa wake zetu, na binti zetu tuwape wao.

Kusoma sura kamili Mwa. 34

Mtazamo Mwa. 34:21 katika mazingira