Mwa. 34:25 SUV

25 Ikawa siku ya tatu, walipokuwa wakiumwa sana, wana wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, nduguze Dina, wakatwaa kila mtu upanga wake, wakaujia mji kwa ujasiri, wakawaua waume wote.

Kusoma sura kamili Mwa. 34

Mtazamo Mwa. 34:25 katika mazingira