Mwa. 34:7 SUV

7 Wanawe Yakobo waliposikia hayo, wakaja kutoka nyikani; nao wakasikitika sana, wakakasirika mno, kwa sababu amefanya upumbavu katika Israeli kwa kulala na binti Yakobo, neno lisilojuzu kutendeka.

Kusoma sura kamili Mwa. 34

Mtazamo Mwa. 34:7 katika mazingira