Mwa. 35:1 SUV

1 Mungu akamwambia Yakobo, Ondoka, panda uende Betheli, ukakae huko; ukamfanyie Mungu madhabahu huko; yeye aliyekutokea ulipomkimbia Esau, ndugu yako.

Kusoma sura kamili Mwa. 35

Mtazamo Mwa. 35:1 katika mazingira