Mwa. 35:16 SUV

16 Wakasafiri kutoka Betheli, hata ukabaki mwendo wa kitambo tu kufika Efrathi, Raheli akashikwa na utungu wa kuzaa, na utungu wake ulikuwa mzito.

Kusoma sura kamili Mwa. 35

Mtazamo Mwa. 35:16 katika mazingira