Mwa. 35:18 SUV

18 Ikawa hapo katika kutoa roho yake, maana alikufa, akamwita jina lake Benoni, lakini babaye alimwita Benyamini.

Kusoma sura kamili Mwa. 35

Mtazamo Mwa. 35:18 katika mazingira