Mwa. 36:13 SUV

13 Na hawa ni wana wa Reueli, Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.

Kusoma sura kamili Mwa. 36

Mtazamo Mwa. 36:13 katika mazingira