Mwa. 37:10 SUV

10 Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie hata nchi?

Kusoma sura kamili Mwa. 37

Mtazamo Mwa. 37:10 katika mazingira