Mwa. 37:14 SUV

14 Akamwambia, Enenda, basi, ukaone kama ndugu zako hawajambo, na kundi nalo li salama, ukaniletee habari. Basi akampeleka kutoka bonde la Hebroni, akafika Shekemu.

Kusoma sura kamili Mwa. 37

Mtazamo Mwa. 37:14 katika mazingira