Mwa. 37:17 SUV

17 Yule mtu akasema, Wametoka hapa, maana niliwasikia wakisema, Twendeni Dothani. Basi Yusufu akawafuata ndugu zake akawakuta huko Dothani.

Kusoma sura kamili Mwa. 37

Mtazamo Mwa. 37:17 katika mazingira