Mwa. 37:22 SUV

22 Reubeni akawaambia, Msimwage damu; mtupeni katika birika hii iliyopo nyikani, wala msimguse; ili apate kumwokoa katika mikono yao, akamrudishe kwa baba yake.

Kusoma sura kamili Mwa. 37

Mtazamo Mwa. 37:22 katika mazingira