Mwa. 37:25 SUV

25 Nao wakakaa kitako kula chakula; wakainua macho yao, wakaona, msafara wa Waishmaeli wanakuja wakitoka Gileadi na ngamia zao, wakichukua ubani na zeri na manemane, wakisafiri kuvichukua mpaka Misri.

Kusoma sura kamili Mwa. 37

Mtazamo Mwa. 37:25 katika mazingira