Mwa. 37:28 SUV

28 Wakapita wafanya biashara Wamidiani; basi wakamtoa Yusufu, wakampandisha kumtoa katika birika, wakamwuza Yusufu kwa Waishmaeli kwa vipande vya fedha ishirini; nao wakamchukua Yusufu mpaka Misri.

Kusoma sura kamili Mwa. 37

Mtazamo Mwa. 37:28 katika mazingira