Mwa. 37:8 SUV

8 Ndugu zake wakamwambia, Je! Kweli wewe utatumiliki sisi? Nawe utatutawala sisi? Wakazidi kumchukia kwa ajili ya ndoto yake, na kwa maneno yake.

Kusoma sura kamili Mwa. 37

Mtazamo Mwa. 37:8 katika mazingira