Mwa. 38:18 SUV

18 Akasema, Nikupe rehani gani? Akamjibu, Pete yako ya muhuri, na kamba yake, na fimbo yako iliyo mkononi mwako. Basi akampa, akaingia kwake, naye akapata mimba.

Kusoma sura kamili Mwa. 38

Mtazamo Mwa. 38:18 katika mazingira