Mwa. 38:21 SUV

21 Akauliza watu wa mahali pale, akisema, Yuko wapi yule kahaba aliyekuwapo Enaimu kando ya njia? Wakasema, Hakuwako hapa kahaba.

Kusoma sura kamili Mwa. 38

Mtazamo Mwa. 38:21 katika mazingira