Mwa. 38:23 SUV

23 Yuda akasema, Na aichukue yeye, tusije tukatiwa aibu; tazama, nimempelekea mbuzi huyu, wala hukumkuta.

Kusoma sura kamili Mwa. 38

Mtazamo Mwa. 38:23 katika mazingira