Mwa. 38:25 SUV

25 Alipotolewa, alipeleka watu kwa mkwewe, akisema, Mimi nimepewa mimba na mtu mwenye vitu hivi. Akasema, Tambua basi, vitu hivi ni vya nani, pete hii, na kamba hii, na fimbo hii.

Kusoma sura kamili Mwa. 38

Mtazamo Mwa. 38:25 katika mazingira