12 huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.
Kusoma sura kamili Mwa. 39
Mtazamo Mwa. 39:12 katika mazingira