Mwa. 4:17 SUV

17 Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.

Kusoma sura kamili Mwa. 4

Mtazamo Mwa. 4:17 katika mazingira