Mwa. 4:23 SUV

23 Lameki akawaambia wake zake,Sikieni sauti yangu, Ada na Sila;Enyi wake za Lameki, sikilizeni usemi wangu;Maana nimemwua mtu kwa kunitia jeraha;Kijana kwa kunichubua;

Kusoma sura kamili Mwa. 4

Mtazamo Mwa. 4:23 katika mazingira