Mwa. 4:25 SUV

25 Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua.

Kusoma sura kamili Mwa. 4

Mtazamo Mwa. 4:25 katika mazingira