Mwa. 4:7 SUV

7 Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.

Kusoma sura kamili Mwa. 4

Mtazamo Mwa. 4:7 katika mazingira