Mwa. 40:13 SUV

13 Baada ya siku tatu Farao atakiinua kichwa chako, atakurudisha katika kazi yako; nawe utampa Farao kikombe mkononi mwake, kama desturi ya kwanza, ulipokuwa mnyweshaji wake.

Kusoma sura kamili Mwa. 40

Mtazamo Mwa. 40:13 katika mazingira