Mwa. 40:20 SUV

20 Ikawa siku ya tatu, siku ya kuzaliwa kwake Farao, akawafanyia karamu watumwa wake wote; akakiinua kichwa cha mkuu wa wanyweshaji, na cha mkuu wa waokaji, miongoni mwa watumwa wake.

Kusoma sura kamili Mwa. 40

Mtazamo Mwa. 40:20 katika mazingira