Mwa. 41:27 SUV

27 Na wale ng’ombe saba, dhaifu, wabaya, waliopanda baada yao, ni miaka saba; na yale masuke saba matupu yaliyokaushwa na upepo wa mashariki, yatakuwa miaka saba ya njaa.

Kusoma sura kamili Mwa. 41

Mtazamo Mwa. 41:27 katika mazingira