Mwa. 41:46 SUV

46 Naye Yusufu alikuwa mwenye miaka thelathini, aliposimama mbele ya Farao, mfalme wa Misri. Yusufu akatoka mbele ya uso wa Farao, akapita katika nchi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Mwa. 41

Mtazamo Mwa. 41:46 katika mazingira