Mwa. 41:8 SUV

8 Hata asubuhi roho yake ikafadhaika; akapeleka watu kuwaita waganga wote wa Misri, na watu wote wenye hekima walioko. Farao akawahadithia ndoto yake, wala hakuna aliyeweza kumfasiria Farao mambo hayo.

Kusoma sura kamili Mwa. 41

Mtazamo Mwa. 41:8 katika mazingira