Mwa. 42:25 SUV

25 Yusufu akaamuru kuvijaza vyombo vyao nafaka, na kumrudishia kila mtu fedha yake katika gunia lake, na kuwapa chakula cha njiani.

Kusoma sura kamili Mwa. 42

Mtazamo Mwa. 42:25 katika mazingira