Mwa. 42:28 SUV

28 Akawaambia nduguze, Fedha yangu imerudishwa, angalia, imo humo guniani mwangu. Mioyo yao ikazimia, wakageukiana wakitetemeka, wakasema, N’nini hii Mungu aliyotutendea?

Kusoma sura kamili Mwa. 42

Mtazamo Mwa. 42:28 katika mazingira