Mwa. 43:16 SUV

16 Naye Yusufu alipomwona Benyamini pamoja nao, akamwambia msimamizi wa nyumba yake, Uwalete watu hawa nyumbani, ukachinje na kuandalia, maana watu hawa watakula pamoja nami adhuhuri.

Kusoma sura kamili Mwa. 43

Mtazamo Mwa. 43:16 katika mazingira