Mwa. 43:21 SUV

21 Ikawa, tulipofika nyumba ya wageni, tukafungua magunia yetu, kumbe! Fedha za kila mtu zilikuwako kinywani mwa gunia lake, fedha zetu kwa uzani wake kamili; nasi tumezileta tena mikononi mwetu.

Kusoma sura kamili Mwa. 43

Mtazamo Mwa. 43:21 katika mazingira