Mwa. 43:29 SUV

29 Akainua macho yake, akamwona Benyamini, nduguye, mwana wa mamake, akasema, Huyu ndiye ndugu yenu mdogo, mliyeniambia habari zake? Akasema, Mungu akufadhili, mwanangu.

Kusoma sura kamili Mwa. 43

Mtazamo Mwa. 43:29 katika mazingira