Mwa. 43:32 SUV

32 Wakamwandalia yeye peke yake, na wao peke yao, na wale Wamisri waliokula pamoja naye peke yao; maana Wamisri hawawezi kula pamoja na Waebrania, kwa kuwa ni chukizo kwa Wamisri.

Kusoma sura kamili Mwa. 43

Mtazamo Mwa. 43:32 katika mazingira